Kujinyonga kwa ajili ya mapenzi ni ujinga wa kiwango cha Phd na hauvumiliki
Wikiend hii mitandao ya kijamii ilijaa post inayomhusu kijana mmoja
aliyejinyonga kwa ajili ya mdada aliyemtambulisha katika barua yake
kama Rose. Kwanza nakemea vikali vijana wenye akili za kihuni kama hizi
kufikiria kusalitiwa kwamba remedy ni kujinyonga ni upuuzi wa hali juu.
Mwanamke yoyote ni oppotunistic sio Rose peke ake watu wanajali maslahi
ivi kwann mnawapa wanawake kazi ambayo hata wewe ungepewa usingeweza ni
nan mwenye uwezo wa kuacha laki moja akachukua elf kumi eti kisa
anampenda mwenzie kama tatizo ni pesa na wewe tafuta upate upendeke.
No comments:
Post a Comment